KUZALIWA KWA YESU | Mafundisho ya Nguvu – PST Moses EAGT Mbande Kisewe
Автор: EAGT. MBANDE, KISEWE.
Загружено: 2025-12-26
Просмотров: 51
Kuzaliwa kwa Yesu Kristo ni msingi wa wokovu wa mwanadamu. Katika fundisho hili lenye ufunuo na maarifa ya kina, PST MOSES
Yesu alizaliwa katika ufundi, lakini alibeba mpango mkuu wa Mungu wa kumkomboa mwanadamu kutoka dhambini. Fundisho hili linatusaidia kuelewa kwamba Krismasi si sherehe tu, bali ni umbusho wa upendo wa Mungu uliodhihirishwa kwa vitendo.
📖 “Kwa maana leo amezaliwa Mwokozi, naye ni Kristo Bwana.” ( Luka 2:11 )
Karibu usikilize, ujifunze, na upokee nuru ya Neno la Mungu kupitia fundisho hili la Kuzaliwa kwa Yesu Kristo .
👉 Like • Comment • Share • Subscribe
Injili iwafikie wengi zaidi.
#KuzaliwaKwaYesu #PSTMosesEAGT #MbandeKisewe #MafundishoYaBiblia #YesuKristo #HabariNjema #GospelTanzania
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: