Boutross - Again ( Official Video ) Prod. By Kmush
Автор: Boutross Munene
Загружено: Дата премьеры: 28 янв. 2025 г.
Просмотров: 111 901 просмотр
“Again” is a reflective and raw exploration of the paradoxes of New Year’s resolutions. The track delves into the universal struggle of setting intentions for self-improvement while grappling with habits that resist change. With poignant lyrics and an evocative beat, the song captures the cycle of determination, relapse, and self-awareness.
Themes:
Resolutions vs. Reality: The desire to quit smoking and leave the party lifestyle behind, contrasted with the reality of falling back into old patterns.
Honesty and Vulnerability: The track highlights the internal dialogue of trying, failing, and trying again—a story many can relate to.
New Beginnings: Despite the setbacks, “Again” carries an undercurrent of hope and resilience, reflecting the perpetual human effort to grow.
Artistic Perspective:
The single showcases a blend of introspective storytelling with an upbeat rhythm, offering both a personal confession and an anthem for those navigating the complexities of self-improvement. It balances vulnerability with relatability, making it a standout track from 2022.
LYRICS
Intro
Said a lot of things hii mwaka but you know ,again and again yeah .
Chorus
I said hii mwaka nitachange nitawacha mafegi im smoking again , nilisema nitapunguza anasa but cheki nahappen again
Mboka napiga hii mwaka kuna ma fellas lazima nisnake - Ngazi nimeanza kupanda , sidai kushuka again

Verse 1
So one day niko zabe im chilling,mangwelo makali mangeos is pimping , panya akakam around akitry kubonga tukampiga beating,
Is this again nimeingiaje the shimo the same mara mbili
Watu watakuwa insecure utamalizwa na watu without even blinking ,
Gova imesunda maganji again , Kile Are you kidding ,
Wanjama Sarova nasikia 4 weeks alichafua big ting , Either ujitume au utulie home me gimme the ting im flipping
Chorus
I said hii mwaka nitachange nitawacha mafegi im smoking again , nilisema nitapunguza anasa but cheki nahappen again
Mboka napiga hii mwaka kuna ma fellas lazima nisnake - Ngazi nimeanza kupanda , sidai kushuka again
I said hii mwaka nitachange nitawacha mafegi im smoking again , nilisema nitapunguza anasa but cheki nahappen again
Mboka napiga hii mwaka kuna ma fellas lazima nisnake - Ngazi nimeanza kupanda , sidai kushuka again
Verse 2
-Ushaingia keja ya msela , ukajipata umelost for days me mzae hakuniwachia ganji , siwezi repeat the same
Ndio maana na rap na trap nafanya the wrist idrip ka tap, Plan ni kujaza the bank nisiwahy jipata kwa street again
Mnadai nikuje but price ni nzuri, Promoter ananipima ufala i cant do this again
Shawty anafikiria sana kichwa inapata misuli , Kelele kelele kelele I cannot do this again
Chorus
I said hii mwaka nitachange nitawacha mafegi im smoking again , nilisema nitapunguza anasa but cheki nahappen again
Mboka napiga hii mwaka kuna ma fellas lazima nisnake - Ngazi nimeanza kupanda , sidai kushuka again
I said hii mwaka nitachange nitawacha mafegi im smoking again , nilisema nitapunguza anasa but cheki nahappen again
Mboka napiga hii mwaka kuna ma fellas lazima nisnake - Ngazi nimeanza kupanda , sidai kushuka again

Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: