DKAK TV. TUMIEN UONGOZI WENU KUWA SEHEMU YA KUTATUA CHANGAMOTO ZA JAMII, ASKOFU DKT. MOLLEL
Автор: KKKT Dayosisi ya Kaskazini Kati
Загружено: 2025-02-27
Просмотров: 1753
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Kati Dakta Godson Abel Mollel ameahimiza viongozi wanaopewa jukumu la kuwaongoza watu kuac chachu ya maendeleo na kutatua changamoto za jamii.
Ametoa ushauri huo wakati akihubiri katika Ibada ya kuwaingiza kazini viongozi wa Dayosisi hiyo Mwalimu Loshilu Sambweti kua Katibu Mkuu wa Dayosisi na Mchungaji Julius Tarakwa kua Naibu Katibu Mkuu Misioni na Unjilisti Dayosisi ya Kaskazini Kati ambapo amewasihi viongozi hao wapya kwenda kuzaa matunda mema yatakayo kuwa chachu ya maendeleo katika Taifa , Kanisa na Jamii,
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: