AJALI MBAYA YA LORI DHIDI PIKIPIKI YAUA WAWILI TABATA GEREJI, DAR ES SALAAM
Автор: Manara TV
Загружено: 2023-11-12
Просмотров: 18960
AJALI MBAYA YA LORI DHIDI PIKIPIKI YAUA WAWILI TABATA GEREJI, DAR ES SALAAM
Gari kubwa (Lori) imesababisha ajali
Iliyopoteza maisha ya watu
wawili waliokuwa wamepakizana katika Pikipiki kwenye Barabara ya Nelson Mandela Jijini Dar es Salaam leo.
Ajali hiyo imetokana na Lori hilo kuharibika na kuacha njia na kujikuta ikienda kuwagonga watu hao ambao hawajafahamika majina yao mpaka sasa.
Baada ya dereva wa Lori kusababisha ajali hiyo alikimbia na kulitelekeza gari hilo katika Mtaro uliokuwa pembezoni mwa barabara hiyo.
#manaratv #millardayo #habari #manaratvupdates #wasafifm #wasafitv #bbc #mwananchi #habarileo #
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: