Waziri wa zamani Chirau Mwakwere ateuliwa kuwa msemaji wa Mijikenda
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2025-12-27
Просмотров: 6112
Waziri wa zamani Chirau Ali Mwakwere ametawazwa kuwa msemaji wa jamii ya Mijikenda inayojumuisha makabila tisa. Mamia ya wanajamii, wazee wa kaya na wasomi walikongamana katika boma la ronald ngala aliyekuwa waziri katika utawala wa rais wa kwanza Mzee Jomo Kenyatta huko Kaloleni kaunti ya Kilifi. Mwakwere pamoja na aliyekuwa mkuu wa majeshi Generali Samson Mwathethe wametaka umoja wa mijikenda na wanasiasa kukoma kuingilia muungano huo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: