Freestyle Rap Battle - CRBSE04EP08 Flow Matic Vs Shazaar 3
Автор: ExtramileTv
Загружено: 2025-08-11
Просмотров: 177
Hii ni platform ya Hip Hop. Platform ambayo huwakutanisha vijana wanaopenda Hip Hop pamoja na wakali wa mitindo huru. Baada ya kufanya misimu mitatu kwa mafanikio makubwa takribani miaka 6 iliyopita City Rap Battles (CRB) imerudi tena na msimu wa 4 ambapo last week ilikuwa Episode 1 na haikuwa rahisi kupata washindi kwa sababu vijana walikuwa na kiu ya Platform hii kwa mara nyingine ili waweze kuonyesha vipaji vyao au umahiri kwenye MIC.
#cityrapbattles #freestylebattle #micasalounge
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: