Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

UFAFANUZI SWALA LA CHADEMA KUTENGWA MSIBANI MBOWE AFUNGUKA

Автор: SQF TV

Загружено: 2026-01-23

Просмотров: 232

Описание:

Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ambaye pia ni mwanafamilia wa marehemu Mzee Edwin Mtei, amejibu hoja mbalimbali zilizoibuliwa mitandaoni zikidai kuwa CHADEMA haijapewa nafasi na hadhi inayostahili katika taratibu za kumuenzi muasisi wa chama hicho kabla ya mazishi yake.

Akizungumza na waandishi wa habari, Mbowe amesema anasikitishwa na taarifa hizo akizitaja kuwa ni za uongo na zenye nia ya kuuchafua msiba huo, huku akisisitiza kuwa hakuna mtu wala kundi lililotengwa katika maandalizi ya mazishi ya marehemu Mzee Mtei.

Mbowe amesema familia inapenda kuona mwili wa marehemu ukipumzishwa kwa amani bila malumbano yoyote, akibainisha kuwa CHADEMA imepewa nafasi kubwa katika taratibu zote kuanzia zoezi la kuuchukua mwili Mochwari hadi shughuli za kumuaga na kumuenzi marehemu.

Ameongeza kuwa watu wengi waliopo msibani hapo ni wanachama na viongozi wa CHADEMA, jambo linalothibitisha kuwa chama hicho kimehusishwa kikamilifu katika kila hatua ya maandalizi ya msiba huo.

“Ninasikitishwa na baadhi ya watu wanaotaka kuuchafua msiba huu kwa kutoa taarifa za uongo. Hakuna aliyebaguliwa wala kutengwa. Kila mtu amepewa nafasi ya kumuenzi Mzee Mtei,” amesema Mbowe.

Mazishi ya Mzee Edwin Mtei yanatarajiwa kufanyika kesho, Jumamosi, katika makaburi ya nyumbani kwake Tengeru, jijini Arusha.

#chadema #msiba #taarifa #breaking

UFAFANUZI SWALA LA CHADEMA KUTENGWA MSIBANI MBOWE AFUNGUKA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

MWILI WA MAREHEMU MZEE MTEI ULIVYOFIKISHWA NYUMBANI KWAKE NA TARUMBETA, HECHE AONGOZA CHADEMA

MWILI WA MAREHEMU MZEE MTEI ULIVYOFIKISHWA NYUMBANI KWAKE NA TARUMBETA, HECHE AONGOZA CHADEMA

Marekani yajiondoa rasmi W.H.O. Katika Dira ya Dunia

Marekani yajiondoa rasmi W.H.O. Katika Dira ya Dunia

Mjane Aliyempoteza Mume Wake Kwa Risasi Oktoba 29 Afunguka Mbele ya Tume, Aangua Kilio

Mjane Aliyempoteza Mume Wake Kwa Risasi Oktoba 29 Afunguka Mbele ya Tume, Aangua Kilio

MAIMARTHA AYAMWAGA MAPYA YA WEMA SEPETU  BAADA YA KUKATAA DILI LA MILIONI 10 /JUMA LOKOLE MNAFKI

MAIMARTHA AYAMWAGA MAPYA YA WEMA SEPETU BAADA YA KUKATAA DILI LA MILIONI 10 /JUMA LOKOLE MNAFKI

HECHE MBELE ya WAZIRI MKUU MWIGULU AZUNGUMZIA UTEKAJI - ''UKITOFAUTIANA KWA HOJA WATU WANAPOTEA''...

HECHE MBELE ya WAZIRI MKUU MWIGULU AZUNGUMZIA UTEKAJI - ''UKITOFAUTIANA KWA HOJA WATU WANAPOTEA''...

KAULI YA KWANZA YA JOHN HECHE MSIBANI KWA MZEE MTEI

KAULI YA KWANZA YA JOHN HECHE MSIBANI KWA MZEE MTEI"SISI NI SEHEMU YA FAMILIA" TUNAJIVUNIA ALIKUWA..

MBOWE ASAHAU KUMTAMBUA WAZIRI MKUU MWIGULU - MALASUSA ACHUKUA MAIKI na KUMTAMBUA kwa UNYENYEKEVU...

MBOWE ASAHAU KUMTAMBUA WAZIRI MKUU MWIGULU - MALASUSA ACHUKUA MAIKI na KUMTAMBUA kwa UNYENYEKEVU...

Historia ya EDWIN MTEI Gavana wa BOT Aliyetofautiana na NYERERE Masharti ya IMF

Historia ya EDWIN MTEI Gavana wa BOT Aliyetofautiana na NYERERE Masharti ya IMF

HECHE AJIBU UGENI wa RAIS MSIBANI na ISHU ya CHADEMA KUBANIWA kwa MTEI -

HECHE AJIBU UGENI wa RAIS MSIBANI na ISHU ya CHADEMA KUBANIWA kwa MTEI - "MSIBANI MTU HAPEWI KADI"..

Почки скажут вам: всего 1 стакан перед сном и ночные походы в туалет исчезнут | ПАМЯТЬ И МОЗГ

Почки скажут вам: всего 1 стакан перед сном и ночные походы в туалет исчезнут | ПАМЯТЬ И МОЗГ

RASMI TAMKO LA CHADEMA KUKAMATWA KWA MWENYEKITI MBEYA VIJIJINI NA ZUIO LA KUFANYA SHUGHULI ZA SIASA

RASMI TAMKO LA CHADEMA KUKAMATWA KWA MWENYEKITI MBEYA VIJIJINI NA ZUIO LA KUFANYA SHUGHULI ZA SIASA

YONA AMKOSEA ADABU DR.NCHIMBI

YONA AMKOSEA ADABU DR.NCHIMBI

Alichokutana nacho dada Selestina ni UKATILI na UNYANYASAJI kwa wafanyakazi wa nyumbani… 1/2

Alichokutana nacho dada Selestina ni UKATILI na UNYANYASAJI kwa wafanyakazi wa nyumbani… 1/2

To, co Chiny budują teraz, odbierze ci mowę

To, co Chiny budują teraz, odbierze ci mowę

WASTARA AFUNGUKA KUOLEWA NA DUDUBAYA BAADA YA KUTESEKA NA UPWEKE KWA MDA MREFU,TAZAMA HAPA...

WASTARA AFUNGUKA KUOLEWA NA DUDUBAYA BAADA YA KUTESEKA NA UPWEKE KWA MDA MREFU,TAZAMA HAPA...

To już wojna na Morzu Czarnym? Rosja atakuje cywilne statki, Turcja ODPOWIADA !! | WOJNA NA UKRAINIE

To już wojna na Morzu Czarnym? Rosja atakuje cywilne statki, Turcja ODPOWIADA !! | WOJNA NA UKRAINIE

⚡️Буданов СКАЗАЛ Трампу ЭТО ПРЯМО В ЛИЦО. КРОВНАЯ месть Кадырова за ЛЮБИМОГО сына НАЧАЛАСЬ

⚡️Буданов СКАЗАЛ Трампу ЭТО ПРЯМО В ЛИЦО. КРОВНАЯ месть Кадырова за ЛЮБИМОГО сына НАЧАЛАСЬ

Мне 73. Я жалею, что понял это только сейчас.

Мне 73. Я жалею, что понял это только сейчас.

СОДА ДЛЯ ЛЕГКИХ: Забытый способ ингаляции из СССР — выплюнете всю слизь и мокроту за 1 вечер

СОДА ДЛЯ ЛЕГКИХ: Забытый способ ингаляции из СССР — выплюнете всю слизь и мокроту за 1 вечер

Почему зарядка после 60 ускоряет потерю мышц? Парадокс сардинских долгожителей | ЗДОРОВЬЕ ДАРОМ

Почему зарядка после 60 ускоряет потерю мышц? Парадокс сардинских долгожителей | ЗДОРОВЬЕ ДАРОМ

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: infodtube@gmail.com