Kilimo Biashara | Wafugaji wa nyuki wamerejelea mizinga ya kitamaduni
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2023-05-17
Просмотров: 6180
Baadhi ya wafugaji nyuki humu nchini wamerejelea Utumizi wa mizinga ya nyuki ya kitamaduni na kupunguza utumizi wa mizinga ya kisasa. wakulima wa nyuki hata hivyo wamefanyia mizinga hiyo marekebisho ili kuweza kuvuna asali kwa urahisi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: