MADAKTARI BINGWA WA MAMA SAMIA WAKITA KAMBI HOSPITALI YA WILAYA YA SIKONGE
Автор: SIKONGE DC TV
Загружено: 2025-10-01
Просмотров: 210
Kufuatia ujio wa Madaktari Bingwa wa Mama Samia wilayani Sikonge,baadhi ya wananchi kutoka kata mbalimbali Wilayani Sikonge wameishukuru serikali kwa kusogezewa huduma za matibabu ya kibingwa kwakuwa hatua hiyo inasaidia kuokoa uhai na kupunguza gharama za kufuata huduma hizo katika hospitali za rufaa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: