Imebakia Upinzani Tu: Tafiti Zathibitisha Matunda Matamu Ni Rafiki, Sio Tishio
Автор: Dr Nature
Загружено: 2025-11-23
Просмотров: 745
Hii video inavunja kabisa imani potofu kwamba matunda matamu yanapandisha sukari au yanafanya upunguze uzito kwa tabu.
Utapata ushahidi kutoka tafiti za kisasa, maelezo ya kisayansi kwa lugha rahisi, na sababu halisi kwa nini matunda—hata yale matamu—yanafanya kazi kama kizuia sukari kupanda na msaidizi mkubwa wa kupunguza uzito.
****
Yusufu Mohamed Filemon, MD maarufu kama "Dr Nature" daktari wa binadamu kutoka chuo kikuu cha KCMC na mtaalamu wa tiba kwa chakula (homeopathist na naturopathist).
Anafanya kazi ya kuwasaidia watu kukinga na kutibu magonjwa kwa mtindo bora wa maisha. Katika channel hii ya youtube anafundisha dondoo mbalimbali zinazowasaidia wengi kurejesha afya zao.
**
SOCIAL MEDIA
Facebook: Dr Nature www.facebook.com/doktanature
Tiktok: www.tiktok.com/@doktanature
Instagram: Dr Nature www.instagram.com/doktanature
WEBSITE: www.doktanature.com
MAWASILIANO:
Simu/Whatsapp: +255-767-759-137
Email: [email protected]
Dar es Salaam, Tanzania
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: