Zitto Kabwe aliposimama kwa dakika 10 kuhusu muswada wa habari
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2016-11-05
Просмотров: 102965
Ni kutoka bungeni Dodoma ambapo ishu kubwa sasa ni michango ya Wabunge kuhusu muswada wa habari uliowasilishwa jana kutoka kwa waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Nape Nnauye.
Hapa nakukutanisha na mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe (ACT) ambaye alisimama kwa dakika 10 kuwasilisha points zake.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: