Rais Samia Amewatunuku Kamisheni Maafisa Wapya 236 wa JWTZ
Автор: The Chanzo
Загружено: 2024-11-28
Просмотров: 590
Shughuli hii imefanyika leo katika Chuo cha Taaluma ya Kijeshi Monduli (TMA)
Kati hawa wapya, wanaume ni 203 na wanawake 33.
Maafisa 88 walipata mafunzo katika nchi rafiki ikiwemo Urusi, Kenya, Msumbiji, China, Misri, Zambia na Ethiopia.
Pia maafisa hawa 74 ni wale wa kundi la wahitimu wa Shahada ya Sayansi ya Kijeshi inayotolewa na chuo hiko.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: