LAZARO MBEGETE
Автор: Kalunde Media
Загружено: 2021-01-25
Просмотров: 417
Staki kuamini kwa kilichotokea, Kifo cha LAZARO ZAKAYO MBEGETE. Kwa mara ya Mwisho tulikutana Kadashi kwenye Msiba wa Peter S. Kisanga akiwa hana dalili ya Ugonjwa wowote, sasa naskitika sana kuskia yakuwa leo hatuko nae tena. Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya Marehemu, kijana mwenzetu, mpambanaji. Wana wa Maligisu tumepoteza mtu muhimu sana. Taifa la Tanzania lilikuwa linamhitaji kulitumikia. Dah! Adui kifo hauna huruma.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: