"Nimemuandikia Ray C msg amesoma lakini hajanijibu" - NANDY
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2017-10-18
Просмотров: 41965
Mwimbaji Mkongwe wa Bongofleva Ray C aliona video ya Nandy akiimba wimbo wake kwenye jukwaa la Fiesta na akakasirishwa na kitendo hicho, akamuandikia kwamba hiyo iwe mara ya mwisho yeye kuimba nyimbo za Ray C.
Leo Nandy ametueleza ya moyoni baada ya hiyo ishu kutokea na msg ambayo amemuandikia Ray C akaisoma lakini hakuijibu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: