Jinsi ya kupika ubuyu mtamu sana
Автор: Meju Mapishini
Загружено: 2024-02-02
Просмотров: 8849
MAHITAJI😋😋😋😋
-Mabuyu kilo moja
-Unga wa mabuyu nusu kilo
-Sukari kilo moja
-Iliki
-Rangi ya mabuyu(maroon) vijiko 2
-Bi-carbonate kijiko 1 cha chai
-Chumvi kijiko nusu
-Glucose pakiti 1 kubwa
-Maji vikombe 2 medium
MATAYARISHO😋😋😋😋
1.Utatia sukari,iliki, rangi na maji kwenye sufuria na ubandike jikoni.
2.Tokosa sukari yako hadi iive ( inyatenyate- syrup) alafu tia ile bi-carbonate kwa hatua hii.
3. Weka mabuyu yako kwenye beseni na unyunyuzie sukari(syrup) kidogo kidogo huku ukichanganya.
4. Hakikisha mabuyu yamekolea rangi vizuri alafu utie unga kidogo kidogo huku ukichanganya vizuri.
5. Rudia step 3 na 4 hadi unga wa mabuyu uishe na uhakikishe yamekauka na yana unga vizuri.
6. Alafu utayaweka kando yapoe na baadaye utaweka glucose( optional).
7. Mabuyu yako yatakuwa tayari kwa maandalizi.
ASANTENI!!!😋😋😋😋😋
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: