Mgaagaa Na Upwa - Claywork
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2012-06-12
Просмотров: 4731
Kwenye makala ya mgaagaa na upwa wiki hii, mwanahabri wetu Joab Mwaura anamwangazia Simon Lomojo,barobaro aliyekuwa na jina la kutajika katika kijiji cha Loikas kaunti ya Samburu kutokana na tabia yake ya wizi wa mifugo . Hata hivyo, ilibidi kutelekeza tabia hiyo baada ya marafiki wake kuuawa. Sasa Lomojo amebadilika na kuanza kazi tofauti kabisa, ya kutengeneza vyombo vya udongo vinavyotumika jikoni.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: