Heri mtu aliyemfanya Bwana kuwa tumaini lake (Zaburi 1:1-3, 4, 6. K zab 40: 5a)
Автор: Chellah Pretty
Загружено: 2022-02-20
Просмотров: 1420
Zaburi ya jumapili Dominika ya 6 mwaka wa kawaida
Heri mtu Yule asiyefuata Sheria la waovu
Asiyesimama katika njia ya wakosefu
Waka kukaa katika baraza la wenye mzaha
Bali furaha take ni katika Sheria ya Bwana
Na kuitafakari Sheria yake mchana na usiku
Naye ni kama mti uliopandwa
kando kando ya vijito vya maji
Unaozaa matunda kwa wakati wake
Waka Jani lake halinyauki, kila wafanyalo linafanikiwa
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: