FUNZO KWA WENYE KUWAPA MAJINA YAO WATOTO WASIOKUWA WAO || KISA CHA ZAID BIN HARITH - OTHMAN MAALIM
Автор: Al Ma'arif Online Tv
Загружено: 2023-09-06
Просмотров: 430
Zayid Bin Harithah alikuwa miongoni mwa watu wa mwanzo kabisa kusilimu kwasababu alikuwa ni mtu wa karibu kwa mtume kiasi akawa anaitwa Zayid bin Muhammad. Asili ya uhusiano wao ilikuwa ni utumwa aliokuwa nao Zayid baada ya kununuliwa na Bi Khadija alikabidhiwa kuwa kama msaidizi wa Mtume. Mtume aliishi naye kijana huyu kama mtoto wake kiasi Zayid alikataa kurudi kwa wazazi wake na kuchagua kukaa na Muhammad (S.A.W). Ikumbukwe hapo ni kabla ya Mtume kuwa rasmi Mtume. Ikazoeleka tamaduni kuwapa watu majina yao kisa wamewalea na kuwahudumia kwa mambo mengi, hivyo kisa hiki Cha Zayid kumuoa Bi Zainab kisha wakaachana na baadae Mtume akamtuma yule yule Zayid akamposee kwa Bi Zainab. Kuna mafunzo mengi na mazuri sana.
_________________________________________
Yaliyomo kwenye video hii (Chapters):
0:00 - Channel Intro
0:10 - Mawaidha
==================================
Tazama Video nyingine kwenye channel yetu
1. Video Title: IMAMU LAZIMA UPENDEZE || MAIMAMU WENU HAWANA HATA BAISKELI
▶ • KISA CHA ALIYESAIDIWA NA SHETANI || IBILIS...
2. Video Title: WAISLAMU WATOA TAMKO || JUU YA SERIKALI KUCHUKUA SOMO LA DINI
▶ • WAISLAMU WATOA TAMKO || JUU YA SERIKALI KU...
3. Video Title: SHEIKH NURDIN KISHKI AWARUDIA WAISLAMU JUU YA TAQWA
▶ • SHEIKH NURDIN KISHKI AWARUDIA WAISLAMU JUU...
*******************************************
Our Social Media:
🟥 Instagram 👇
/ almaarifmedia
🟦 Facebook 👇
/ almaarifonlinetv
⬛ Tiktok 👇
/ almaarifmedia
*******************************************
Channel yetu nyengine 👇
/ @thefikra
_________________________________________
Produced by: 𝗔𝗹 𝗠𝗮'𝗮𝗿𝗶𝗳 𝗠𝗲𝗱𝗶𝗮 𝗣𝗿𝗼𝗱𝘂𝗰𝘁𝗶𝗼𝗻 𝗶𝗻 𝟮𝟬𝟮𝟯
*******************************************
#bofyahapa🔴 #mawaidha #sheikh #maarif #ma'arif #darsa #kishki #othmanmaalim #sheikhkishki #mufti #bakwata #tanzania #hijja #ramadhanimawaidha #ramadhani #sabahalupdates #shamsualmaarif #muhadhara #mazinge #taqwa #samiasuluhu #joti #mkojanigang #mkojani #bunge #wasafi #milardayo #ihsan #zanzibar #mombasamawaidha #kenya #uislamu #listenable #trends #viral #islamic #muslims #kiswahili #arabic #ulimwengu #makka #ijumaa #swala #sunnah #islam #sheikhothmanmaalim #mawaidhamapya #mawaiza #mawaidha2024 #mawaidha2025 #mawaidha2026 #mawaidha2027 #ramadhani2025
*******************************************
⚠ 𝑨𝒏𝒚 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 𝒄𝒐𝒏𝒄𝒆𝒓𝒏𝒔, 𝒑𝒍𝒆𝒂𝒔𝒆 𝒄𝒐𝒏𝒕𝒂𝒄𝒕 𝒖𝒔 𝒔𝒐 𝒕𝒉𝒂𝒕 𝒘𝒆 𝒄𝒂𝒏 𝒈𝒊𝒗𝒆 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒇𝒖𝒍 𝒄𝒓𝒆𝒅𝒊𝒕 𝒕𝒐 𝒕𝒉𝒆 𝒔𝒐𝒖𝒓𝒄𝒆. ⚠
🟥 𝗣𝗿𝗶𝘃𝗮𝗰𝘆 𝗣𝗼𝗹𝗶𝗰𝘆
Dear viewers, This Privacy Policy outlines how Al Ma'arif Media ("we", "us", or "our") collects, uses, and protects any personal information you provide when you use our YouTube channel and engage with our Islamic-based content. We are committed to ensuring that your privacy is protected. If you have any concerns about your privacy, please contact us.
🟦 𝗜𝗻𝗳𝗼𝗿𝗺𝗮𝘁𝗶𝗼𝗻 𝘄𝗲 𝗰𝗼𝗹𝗹𝗲𝗰𝘁
✔ Personal information:
When you comment, like, subscribe to or interact with our videos, your YouTube username and profile information may be visible to us.
✔ Analytics:
We use YouTube Analytics to gather data about video views, watch times, engagement metrics, and demographics of our viewers. This information is aggregated and anonymous.
🟪 𝗛𝗼𝘄 𝘄𝗲 𝘂𝘀𝗲 𝘆𝗼𝘂𝗿 𝗶𝗻𝗳𝗼𝗿𝗺𝗮𝘁𝗶𝗼𝗻
✔ Provide content:
Your interactions with our videos, comments, and other interactions help us improve our content and provide you with more relevant information.
⬛ 𝗟𝗶𝗻𝗸𝘀 𝗮𝗻𝗱 𝗧𝗵𝗶𝗿𝗱 𝗣𝗮𝗿𝘁𝘆 𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲𝘀
Our videos may contain links to other websites or resources. However, once you have used these links to leave our channel, please note that we have no control over these external websites. Therefore, we cannot be responsible for the protection and privacy of any information you provide when visiting such websites.
🟥 𝗬𝗼𝘂𝗿 𝗥𝗶𝗴𝗵𝘁𝘀
You can control the visibility of your interactions on our videos by adjusting your YouTube privacy settings. You can also unsubscribe from our channel at any time. If you would like us to delete any personal information we have collected, please contact us at [email protected].
𝗧𝗵𝗮𝗻𝗸𝘀 👌💕
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: