Mji wasimama Handeni mapokezi bomba za mradi wa maji HTM
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2023-08-24
Просмотров: 1034
Mamia ya wananchi wamejitokeza wilayani Handeni mkoani Tanga, kushuhudia magari yaliyobeba bomba za maji za mradi wa Handeni Trunk Main, maarufu kama (HTM) ukiwasili wilayani humo.
Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini Reuben Kwagilwa anaeleza ni jinsi gani changamoto ya maji inakwenda kutatuliwa kutokana na kuanza kwa mradi wa HTM kwa kuwasili mabomba hayo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: