SAUTI_YA_USHINDI_KWAYA_NISHANGWE ( WEDDING SONG VOLUME 2) official lyrics video
Автор: SAUTI YA USHINDI
Загружено: 2025-11-29
Просмотров: 124
NISHANGWE ni wimbo furaha na shangwe kwa familia kuona ndugu wakitimiza agizo la MUNGU la Kufunga ndoa takatifu na kwa pamajo tunawa Ombea na kuwa takia baraka na heri katika maisha yao ya ndoa
Marko 10:7-9
" 7 .Kwa sababu hiyo mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe;
8 .na hao wawili watakuwa mwili mmoja; hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja.
9 .Basi alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe."
CREDIT
song singers: sauti ya ushindi kwaya
songwriter &music: EMMANUEL KUBILU
audio recording: GOSEIM STUDIO(king)
Lyrics video: POPE STUDIO
Location
dar es salaam- Temeke_keko _mwanga "B"
contact as
Facebook:@sautiyaushindikwaya
Instagram: @sautiyaushindikwaya
threads:@sautiyaushindikwaya
tiktok :ushindi tz
Email:[email protected]
WhatsApp :+255653210605
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: