Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Salama Na MwanaFA Ep 10 | KARAMA Part 2

Автор: YahStoneTown

Загружено: 2020-04-05

Просмотров: 117804

Описание:

#YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubs

Listen our Podcast on
Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcasts Link https://apple.co/2Ou1bru‬
‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa

Weekend mbili zilitopita rafiki yangu Mwinyi aka Mpwa aka Cousin aka Hamis alikua akiadhimisha siku ya kuzaliwa kwake na alikua amefiksha umri wa kustahili kusherehekea kwa kweli na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa maisha, mke wake kipenzi alinipigia simu siku nne kabla ya birthday ya mumewe na kutaka tujumuike nae kum suprise, pia akaniambia ana kazi sana ya kuweza kukamilisha hilo tukio maana jamaa (Mwana FA) kashasema yeye hana mango wa kutaka shughuli, angependa maisha yaendelee tu kama kawaida. Pengine alikua akitarajia dinner nyumbani na mkewe na wanawe basi. So kukawa na zoezi hapo la kuhakikisha jamaa hasomi mchongo na kwamba zoezi ni lazima lifanikiwe. Malika binti yeke kwa kwanza ndo alikua amiri jeshi mkuu wa kuhakikisha Baba anarudi nyumbani by saa mbili usiku ili ale na familia chakula cha usiku. Suala hili lilizidi kuwa tamu pale Malika alipofanikiwa kutimiza ombi lake kwa Baba na sisi wengine ikawa rahisi kuibuka nyumbani na kumaliza mchongo mzima. Ulikua usiku mzuri ambao umeandaliwa kwa mapenzi mengi, na kila kitu kilipangwa kwa uangalifu by saa nne unusu tunaimba kata keki tule 😃. Ila kitu unique kabisa kwenye sherehe hiyo ilikua ni vipande vya karatasi ambayo tuligaiwa, vilikua na namba na namba yako ikitajwa basi kuna swali ilikua unatakiwa kulijibu, ili kuonyesha ukaribu wetu, unataka kujua mimi nilipata swali gani? Ok, swali lilikua ni kama nakumbuka siku yangu ya kwanza kukutana na Mwana FA!



Hiyo story itaendelea siku nyengine ila kwa sasa nikuambie tu mahusiano yangu na yeye Mwinyi. Tumekua pamoja naweza sema baada ya kukutana hapa mini Dar es Salaam mwanzoni mwa miaka ya 2000, sote tukiwa wembamba na watoto tu, ila bila ya shaka kila maja akiwa na nia na madhumuni ya kufika hapa tulipo na zaidi panapo majaaliwa, kuna smile flani ivi ambalo mpaka leo halijawahi kubadilika ndo ID yake pamoja na mwanya flani unaokamilisha muonekano wake, style za misuko ya nywele tofauti pia ilikua ikimtenganisha yeye na wanamuziki wengine, ila kikubwa zaidi ambacho kinamfanya yeye awe kasimama mbali na wenzake ni jinsi anavyoandika, anavyowasilisha na anavyowakuna pia washabiki wake ambao kila siku zinavyozidi kwenda wamekua wakiongezeka, nadhani ni baada ya kampa sikio la moja kwa moja ambako kumewafanya wamsikilize kwa umakini zaidi.



Siku za hivi karibuni rafiki yangu aliibua mjadala kwenye mitandao ya kijamii zaidi Twitter baada ya kuamua kujiita yeye Shaaban Robert wa enzi zetu, kama ulikua hufahamu Shaaban Bin Robert alikua mi mshairi, muandishi wa vitabu na essay na pia inaaminika alikua moja kati ya wafikiri wazuri wa lugha ya Kiswahili kutoka Afrika ya Mashariki. Mwana FA ni mmoja kati wa washairi wazuri na mwenye style tamu pia ya kuwakilisha uandishi wake kwa miaka mingi sasa ya muziki huu wa kizazi kipya. Kama unadhani anastahili kujiweka ligi moja au hata nyumba moja na Shaaban Robert au pengine hana nafasi hiyo mimi sina cha kusema juu ya hilo, ila ninaloweza kusema ni kwamba rafiki yangu huyu ameonekana kukua mbele ya macho yangu kwa zaidi ya miaka kumi na tano sana, alianza kufanya kazi zake mapema tu kama solo artist na ngoma sake ya kwana tu ilikua HIT, Unaikumbuka INGEKUA VIPI? Kisha ikaja ECT, baadae kama Duo yeye na AY huku akiwa anaendelea kufanya solo projects na baada ya hapo ameendelea kusimama mwenyewe na kujiimarisha kila mara anapotupa nyimbo mpya, na kwa hilo basi niko hapa kwaajili ya kutoa heshima zangu kwake na kumtakia kila lenye kheri naye.



P.S

Mwana FA pia ni rafiki mzuri na Baba kipenzi kwa mabinti zake.



Enjoy.

Love,

Salama.

Soundtrack Yeah by @MarcoChali    • Marco Chali Feat One The Incredible & Msam...  

Follow:
Twitter:   / yahstonetown  
Instagram:   / yahstonetown  
Facebook:   / yahstonetown  

Salama Na MwanaFA Ep 10 | KARAMA Part 2

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Salama Na Khadija Kopa Ep 9 | ALIYEPEWA KAPEWA Part 1

Salama Na Khadija Kopa Ep 9 | ALIYEPEWA KAPEWA Part 1

MwanaFA Feat G Nako  - Mfalme (Official Video)

MwanaFA Feat G Nako - Mfalme (Official Video)

JAY MOE ; AMEFUNGUKA KUHUSU KIFO CHA MANGWEAR | COUNTRY WIZZY NI MRITHI | MAMA ALINIACHA | P MAJANI

JAY MOE ; AMEFUNGUKA KUHUSU KIFO CHA MANGWEAR | COUNTRY WIZZY NI MRITHI | MAMA ALINIACHA | P MAJANI

RIPOTI YA BBC KUHUSU HOTUBA  YA RAIS SAMIA MCHAMBUZI ASEMA KUNA HATARI YA TANZANIA KUTENGWA

RIPOTI YA BBC KUHUSU HOTUBA YA RAIS SAMIA MCHAMBUZI ASEMA KUNA HATARI YA TANZANIA KUTENGWA

MwanaFA - We Endelea Tu (Official Video)

MwanaFA - We Endelea Tu (Official Video)

Salama Na Darassa Ep 16 | KAWIA UFIKE Part 1

Salama Na Darassa Ep 16 | KAWIA UFIKE Part 1

Chumo (Swahili with English Subtitles) - 2011

Chumo (Swahili with English Subtitles) - 2011

MR T TOUCH : NINA WIMBO WA NAY WA MITEGO NA DIAMOND PLATNUMZ NDANI

MR T TOUCH : NINA WIMBO WA NAY WA MITEGO NA DIAMOND PLATNUMZ NDANI

Safari Ya Adam Mchomvu, Kusoma Uganda Mpaka Kufanya Kazi Clouds | SALAMA NA ADAM MCHOMVU PART 1

Safari Ya Adam Mchomvu, Kusoma Uganda Mpaka Kufanya Kazi Clouds | SALAMA NA ADAM MCHOMVU PART 1

Salama Na Lady Jaydee Ep 24 | POWERHOUSE Part 1

Salama Na Lady Jaydee Ep 24 | POWERHOUSE Part 1

Mkasi | S14E07 with B DOZEN Extended version

Mkasi | S14E07 with B DOZEN Extended version

Adam Mchomvu:

Adam Mchomvu: "Ofa Zinakuja, Wanakopi Kile Tunafanya, Tushapigwa Mawe Sana |SALAMA NA ADAM MCHOMVU 2

Mkasi - SO5E03 With P Funk

Mkasi - SO5E03 With P Funk

🔴#LIVE: NIFFER KWA MARA YA KWANZA BAAD YA KUACHIWA ANAZUNGUMZA MUDA HUU NA VYOMBO VYA HABARI

🔴#LIVE: NIFFER KWA MARA YA KWANZA BAAD YA KUACHIWA ANAZUNGUMZA MUDA HUU NA VYOMBO VYA HABARI

Salama Na MwanaFA Ep 10 | KARAMA Part 1

Salama Na MwanaFA Ep 10 | KARAMA Part 1

Mkasi - SO7E02 With Chidi Beenz

Mkasi - SO7E02 With Chidi Beenz

Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1

Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1

Salama Na Baba Levo Ep 26 | ALL IN ALL Part 1

Salama Na Baba Levo Ep 26 | ALL IN ALL Part 1

Safari Ya Dina : Asimulia Msoto Aliopitia Kabla Kuwa Mtangazaji | SALAMA NA DINA MARIOUS  PART 1

Safari Ya Dina : Asimulia Msoto Aliopitia Kabla Kuwa Mtangazaji | SALAMA NA DINA MARIOUS PART 1

Walter Chilambo - Namba Moja (Official Music Video)

Walter Chilambo - Namba Moja (Official Music Video)

© 2025 dtub. Все права защищены.



  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности



Контакты для правообладателей: [email protected]