Pande mbili za ODM zashutumiana kwa usaliti
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2025-12-24
Просмотров: 150
Mzozo wa kisiasa unatokota katika uongozi wa chama cha ODM huku pande mbili katika chama hicho zikirushiana lawama. Kundi moja linaloongozwa na naibu kiongozi wa kitaifa wa chama hicho Godfrey Otsotsi linalishtumu kundi linaloongozwa na Mbunge wa Suna Mashariki Junet Mohammed kwa kuuza chama hicho cha ODM serikali tawala kupitia mpango wa serikali jumuishi. Katika kujibu madai hayo Junet amemshutumu Seneta huyo wa Vihiga kwa kujaribu kuuza chama hicho kwa Rais wa zamani Uhuru Kenyatta.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: