Magonjwa ya uume.
Автор: Dr Nathan Stephen.
Загружено: 2020-04-25
Просмотров: 9551
Afya ya uume ni muhimu kwasababu matatizo ya uume yanaweza kuathiri maisha yako vibaya na kukuweka kwenye stress, kukupunguzia kujiamini na kila nyanja ya maisha yako inaweza kuathirika ndio maana ni muhimu sana ukajua dalili za magonjwa ya uume ili kuweza kulinda afya ya uume wako.
#afyayauume#drnathanstephen
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: