WAKULIMA WA KOROSHO MAYANGA AMCOS WAISHUKURU SERIKALI KUWAPATIA PEMBEJEO KWA WAKATI
Автор: Cashewnut Boardtz
Загружено: 2025-05-17
Просмотров: 255
Wakulima wa zao la korosho kutoka Chama cha Msingi cha Mayanga (Mayanga AMCOS) kilichopo katika kijiji cha Msijute kata ya Mayanga Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara, waishukuru serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia pembejeo za zao hilo kwa wakati muafaka.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: