Jaji Warioba afunguka mazito, azungumzia mauwaji, udini na mpasuko kwenye vyombo vya ulinzi Tanzania
Автор: Weyani Tv
Загружено: 2025-12-23
Просмотров: 11682
Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Jaji Joseph Sinde Warioba amezungumzia namna mambo yanavyoendeshwa kiholela nchini Tanzania. Jaji Warioba amekosoa pia namna serikali ilivyofanya mambo yake baada ya kutokea maandamano ya Oktoba 29. Jaji Warioba ameyasema hayo katika mahojiano ya ana kwa ana na mwandishi wa habari wa Jamhuri bwana Manyerere Jackton. Sikiliza baadhi ya mambo aliyoyasema katika ripoti hii.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: