IBADA MAALUM YA WANAWAKE: NITAMILIKI MALANGO YA ADUI ZANGU
Автор: Minister Mocky
Загружено: 2023-04-30
Просмотров: 4498
BWANA YESU asifiwe, karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika ibada njema na maalum ya Wanawake kwa mwezi Aprili 2023 inayokujia mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam.
Ibada hii ina kichwa cha somo "NITAMILIKI MALANGO YA ADUI ZANGU". Ibada hii ni maalum na inahusika na KUKUINGIZA WEWE NA UZAO WAKO KWENYE UMILIKI WA MALANGO YA ADUI.
Ibada hii inaongozwa na Mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: