Gavana Achani azindua miradi ya bwawa la Naserian na lile la Kasemeni huko Mwereni Lungalunga
Автор: Coast Times Digital
Загружено: 2025-10-28
Просмотров: 22
Gavana wa Kaunti ya Kwale Fatuma Achani amefungua miradi miwili ya maji ya bwawa la Naserian na lile la Kasemeni huko Mwereni katika eneo la Lungalunga
Ufunguzi wa bwawa hayo mawili ya maji yanalenga kukabiliana na changamoto za ukosefu wa Maj huko LungaLunga pamoja na kuendeleza kilimo nyunyizi kwa utoshelevu wa chakula kwale.
Miradi hiyo imetekelezwa na serikali ya kaunti ya kwale kwa ushirikiano wa wakfu wa shirika la saidia kwale.
Hadi kufikia serikali ya Kaunti ya Kwale imechimba mabwawa zaidi ya 60 huko lungalunga na kinango ,visima zaidi ya 100 katika maeneo ya matuga na Msambweni pamoja na kupanua mabomba ya maji zaidi ya kilomita 600 ili wakwale wapate maji safi ya matumizi mbalimbali ikiwemo unyunyiziaji wa maji mashamba kwa uzalishaji wa chakula.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: