Kenya vs Tanzania? Zuchu Aumiza Mioyo Ya Mashabiki – Lakini Je, Ni Sahihi?
Автор: MIZUKA MEDIA
Загружено: 2025-08-30
Просмотров: 169683
Katika fainali za CHAN 2025 Moi International Stadium Kasarani Nairobi, mjadala mkubwa siyo mchezo wa Morocco vs Madagascar, bali ni tangazo la Zuchu kutoka Tanzania kuwa msanii mkuu wa kutumbuiza! 🎤🔥
Wakenya wengi wamepinga uamuzi huu wakidai Zuchu si chaguo sahihi, huku wengine wakisema walipaswa kuletwa wasanii kama Mbosso au nyota wa Kenya wenyewe. Mitandao ya kijamii sasa imewaka moto – wengine wakionyesha hasira kali, wengine wakitetea Zuchu, na hata baadhi wakipanga kuimba Wimbo wa Taifa la Kenya wakati Zuchu atakapopanda jukwaani.
Lakini swali kuu linabaki: Je, CHAN walikosea kumleta Zuchu, au huu ni mvutano wa kawaida kati ya Kenya na Tanzania? 🇰🇪🇹🇿
Tazama video hii hadi mwisho kujua maoni ya Wakenya na Watanzania, pamoja na kauli ya Zuchu mwenyewe kuhusu comment iliyoiumiza moyo wake. ❤️
👉 Usisahau kusubscribe MIZUKA MEDIA kwa habari kali za Wasanii wa Tanzania, Kenya, Bongo Fleva, Siasa na Mitindo ya Maisha kila siku.
#Zuchu #CHAN2025 #KenyaVsTanzania #BongoFleva #MIZUKAMEDIA #CHANFinals
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: