MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU KUPAMBA TAMASHA LA PASAKA 2018
Автор: Kajunason TV
Загружено: 2018-03-19
Просмотров: 86
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu anatarajia kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Pasaka 2018 linalotarajiwa kufanyika Kanda ya Ziwa ambapo Aprili 1 itakuwa Uwanja wa CCM-Kirumba na Aprili 2, 2018 ni Simiyu.
Mkurugenzi Wa Msama Promotions, Alex Msama amesema wamejiandaa vya kutosha na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu atawakilishwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt. Mwigulu Nchemba.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: