Shirika la reli la Kenya laongeza huduma za treni za abiria msimu huu wa sikukuu
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2025-12-23
Просмотров: 197
Shirika la Reli nchini limetangaza huduma za ziada za treni kwenye Reli ya Standard Gauge ili kupunguza shinikizo kutokana na msongamano wa usafiri wakati huu wa msimu wa sikukuu. Safari zaidi zimepangwa kwenye njia muhimu wakati ambapo maelfu ya wasafiri wanaelekea mashambani kwa ajili ya likizo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: