MAUAJI MSIKITINI: WATU WASIOJULIKANA WAVAMIA MSIKITI NA KUMCHINJA MLINZI USIKU, WAIBA SADAKA
Автор: Wasafi Media
Загружено: 2023-04-03
Просмотров: 39729
MAUAJI MSIKITINI: WATU WASIOJULIKANA WAVAMIA MSIKITI NA KUMCHINJA MLINZI USIKU, WAIBA SADAKA
Mlinzi wa msikiti wa SHREE HINDU MANDAL TEMPLE uliopo mjini Kahama mkoani Shinyanga aliyefahamika kwa jina Bakari Kasarani mwenye umri wa miaka 46 ameuawa kwa kuchinjwa na watu wasiojulika.
Imedaiwa kuwa mlinzi huyo alivamiwa na watu hao majira ya usiku akiwa eneo lake la kazi na kisha kuuawa na kufanya uharibifu wa vitu mbalimbali ikiwemo kuvunja sanamu iliyokuwa ikiabudiwa ndani ya Msikiti huo.
Kamati ya Ulinzi na usalama ya mkoa wa Shinyanga ikiongozwa na mkuu wa mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme imefika eneo la tukio ambapo Mhe. Mndeme amelaani kitendo hicho na kuahidi kusakwa wale wote waliojihusisha na tukio hilo na kuongeza kuwa serikali itagharamia uharibifu uliofanywa kwenye msikiti huo.
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: