MWANA FA Azungumza KWA MARA YA KWANZA BUNGENI TANGU AWE NAIBU WAZIRI, APIGIWA SHANGWE ZITO
Автор: Wasafi Media
Загружено: 2023-04-18
Просмотров: 104592
MWANA FA Azungumza KWA MARA YA KWANZA BUNGENI TANGU AWE NAIBU WAZIRI, APIGIWA SHANGWE ZITO
Naibu Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Hamisi Mwinjuma(Mwana F.a) amezungumza Kwa mara ya kwanaza Toka kuteuliwa kwake kuwa Naibu Waziri wa Wizara Hiyo ambapo amemshukuru Rais Samia Kwa nafasi aliyopatiwa
Mhe. Mwinjuma ametoa shukrani hizo Leo Bungeni wakati akijibu maswali ya Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Bahati Keneth Ndingo
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: