Tunakukaribisha _YGC AMANI
Автор: Youth Gospel Choir _Amani
Загружено: 2025-06-21
Просмотров: 3231
Yesu anasema, Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. [Mathayo 11:28 ].
Ni wito wa kumkaribia yeye ili akuwezeshe kuonja neema yake na upate pumziko la kweli juu ya masumbufu yote unayoyapitia. Karibu usikilize wimbo huu uliobeba sauti za matumaini kutoka Youth Gospel Choir, KKKT Dayosisi ya Kati, Singida Usharika wa Amani
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: