49. Kuoga (7) - Namna ya kuoga janaba - Sheikh Abdul Majid
Автор: Imam Hussain Foundation
Загружено: 2017-07-10
Просмотров: 46775
Namna ya kuoga ghusl;
Kuna aina mbili za ghusl; tartibiy na Irtimasiy. Ama namna ya kuoga tartibiy ni;
Niyyah
Kuosha kichwa na shingo
Kuosha upande wa kulia wa mwili
Kuosha upande wa kushoto wa mwili
Namna ya kuoga irtimsiy
Niyyah
Kupiga mbizi mara moja na kubaki humo kiasi cha kuhakikisha sehemu zote za mwili zimepata maji. Au akaingia majini taratibu hadi mwili wote kuzama majini. Au akiwa ndani ya maji atatia nia na kuutikisa mwili au akapiga mbizi mle mle majini.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: