DUA EE' MWENYEZI MUNGU TUNANYANYUA MIKONO YETU MBELE YAKO...X3.
Автор: Dua TV Tanzania (TZ)
Загружено: 2025-05-12
Просмотров: 192
MOHAMED KHAMIS KATITI, ni Sheikh wa mkoa wa Manyara. Akiongoza maombi ya kumuombea Mzee Abubakar Bakhresa, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na viongozi wote wanaomsaidia Rais na Tanzania kwa ujumla.
Hii ilikuwa ni katika kipindi maashuhuri cha BUSATI LA MTORO linalo ongozwa na kipenzi wetu Mwamba wa miambani Sheikh Abass Ramadhan Abass.
MOHAMED KHAMIS KATITI, is a Sheikh of the Manyara Region. He led prayers to pray for Mzee Abubakar Bakhresa, Hon. Dr. Samia Suluhu Hassan, the President of the United Republic of Tanzania, and all leaders who support the President and Tanzania in general.
This was during the popular BUSATI LA MTORO program led by our beloved Mwamba wa Miambani Sheikh Abass Ramadhan Abass.
THE LOCATION OF MANYARA:
The Manyara Region in Tanzania is located in the mid-eastern part of mainland Tanzania, bordered by Arusha to the north, Kilimanjaro and Tanga to the east, Dodoma to the south, and Singida and Shinyanga to the west.
AGRICULTURAL STATUS:
The Region's agricultural sector, a major source of food and income, focuses on both food and cash crops, with maize, beans, pigeon peas, sunflower, and onions being prominent, and livestock being a significant secondary economic activity.
#dua
#katiti
#manyara
#duatvtz
#maombi
#mtoro
#busati
#abass
#mufti
#rais
#samia
#suluhu
#ramadhani
#mohamed
#baharesa
#said
#kariakoo
#mahiwa
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: