VIDEO: HARMONIZE AMFUATA KAJALA LIVE NA KUMSALIMIA, APIGIWA SHANGWE
Автор: Millard Ayo
Загружено: Дата премьеры: 24 мар. 2025 г.
Просмотров: 153 254 просмотра
NI headlines za Staa kutokea Bongo Fleva, Harmonize ambaye ameibuka kwenye Samia Cup 2025 ambapo leo March 23, 2025 zilikutana Lamata Village na Bad Nation kuchuana katika Uwanja uliopo Mikocheni DSM.
Sasa miongoni mwa yaliyoibuka ni baada ya Harmonize kuwasili na kwenda kumsalimia EX wake aitwae Kajala kisha kuibuka Shangwe Tazama hii video hapa

Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: