RAIS SAMIA AKISHIRIKI MISA MAALUM YA MIAKA 40 YA KUMBUKIZI YA KIFO CHA HAYATI SOKOINE
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2024-04-12
Просмотров: 2264
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Misa Maalum ya miaka 40 ya Kumbukumbu ya Miaka 40 ya kifo cha Hayati Edward Moringe Sokoine, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Nyumbani kwa Hayati Sokoine Monduli Juu, Mkoani Arusha tarehe 12 Aprili, 2024.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: