JINSI YA KUPATA A, B,C YA NECTA KWA MASOMO YA SCIENCE
Автор: Maguru AcademyTZ
Загружено: 2022-01-15
Просмотров: 681
Katika somo la Leo Utafahamu jinsi ya kupata maksi za kukupatia grade A,B,na C Katika Theory na Practical kwa masomo ya physics, chemistry na biology
Ili uweze kupata A Lazima upate kuanzia maksi 115.
Ili uweze kupata B lazima uweze kuwa na maksi 100
Ili uweze kupata C lazima uweze kuwa na maksi 70
Ukiweza kubalansi maksi mojawapo kati ya hizo kwa theory na practical utweza kuwa katika ufaulu mzuri na Bora.
Hivyo basi,
#kuwezakupataA,B,C|theorynapractical
SUBSCRIBE, LIKE, SHARE na wengine ili Wapate elimu hii
Na usisahau kuniandikia maoni / ushauri / swali zuri kupitia sehemu ya maoni.
ENDELEA kuwa nasi ndani Mitandao ya Kujifunza ya Ujuzi © / skillslearningnetworktz
Kauli mbiu yetu ni Ujuzi bora kwa Wote
FUATILIA MTANDAO WA;
Instagram: jawadumaguru
Facebook: jawadumaguru.
Wasiliana nami Whatsap :0620226109
#J.D.Maguru#Skillslearningnetworktz# #Excellenceknowledgeforall#
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: