BUNGENI: Rufiji tuna muingiliano wa jinai unaofanywa na Wafugaji
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2017-02-09
Просмотров: 4703
February 9 2017 Wabunge walikuwa wakichangia maoni kwenye kamati ya kudumu ya Bunge ya ardhi, maliasili na utalii pamoja na kamati ya Kilimo, mifugo na maji.
Mbunge wa Rufiji Mohamed Mchengerwa alisimama na kutoa masikitiko yake kwenye mauaji ya Wakulima na Wafugaji yanayoendelea katika baadhi ya maeneo nchini.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: