MKURUGENZI MPYA AKUTANA NA KIBANO CHA RC MWANRI "PITA CHUMBA KWA CHUMBA,NIPATE HATA WAWILI TU"
Автор: Cg Online Tv
Загружено: 2019-07-01
Просмотров: 254644
#CgOnlineTv #RcMwanri #SekesekelaMkurugenzi
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe Aggrey Mwanri amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui Jacobo Maziku kutumia siku mbili awe amempatia orodha ya watumishi na Wakuu wa Idara wote ambao hawaishi wilayani Uyui badala yake amekuwa wakiishi nje ya Wilaya hiyo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: