JAMAA AMUUA MWANAMKE ALIYEINGIA NAYE GESTI ARUSHA KISA LAKI NNE NA NUSU "ACHENI UMALAYA"
Автор: GADI TV
Загружено: 2024-08-29
Просмотров: 210035
Mwanamke anayefahamika kwa jina la Rehema Maulid (30) mkazi wa eneo la Wawaso wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha, amefariki dunia kwa madai kuwa ni baada ya kupigwa na kitu kizito kichwani na mpenzi wake kwa tuhuma za kuiba laki nne na nusu wakiwa kwenye chumba cha kulala wageni maarufu kama Gesti wilayani humo.
Familia ya marehemu ikizungumza na vyombo vya habari katika kata ya Daraja Mbili Jijini Arusha ambapo ndipo walipo ndugu zake, imesema taarifa za ndugu yao kuawa zimekumbwa na utata mkubwa ukilinganisha majibu ya Daktari na vile mwili wa marehemu unavyoonekana sehemu za usoni kuwa makovu makubwa yaliyovilia damu.
Jeshi la polisi mkoa wa Arusha limethibitisha kuwepo kwa tukio hilo, na limesema tayari mtuhumiwa wa tukio hilo ameshilikiliwa na muda wowote atafikishwa Mahakamani.
#breakingnews #lifestyle #arushatanzania #livestream
GADI TV ndiyo
Channel pekee inayokuwezesha kupata Habari za Kisiasa,Michezo, Kijamii, na Burudani kutoka Ndani na Nje ya Tanzania. Kwa huduma ya Matangazo au Habari pamoja na maoni na ushauri usisite kuwasiliana nasi kupitia namba za simu +255 769 780 063 au e-mail: [email protected]
Don't forget to SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT and SHARE!!! # GADI TV
Thanks.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: