Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Mwanza Tanzania (Rock City)

Автор: Mr Bweichum

Загружено: 2020-10-11

Просмотров: 3485

Описание:

Mwanza Tanzania (Rock City)
.................................................
Historia ya mkoa wa Mwanza ilianza wakati ukiwa chini ya tawala za kitemi za wasukuma, wazinza, walongo, wakara na wakerewe kabla ya ukoloni. Wajerumani walipotawala Tanganyika eneo la Mwanza likawa mojawapo ya wilaya katika himaya ya utawala wa Kijerumani.

Utawala wa kikoloni wa Mwingereza ulipokabidhiwa uangalizi wa Koloni la Afrika Mashariki baada ya vita kuu ya Dunia, ulianzisha utawala wa majimbo yaani Provinces. Tanganyika ilikuwa na majimbo ya kiutawala manane (8) na mojawapo likiwa ni Lake Province.

Lake Province liliundwa kwa kujumuisha maeneo ya wilaya za Mwanza, Biharamulo, Bukoba, Maswa, shinyanga, Musoma na Kwimba. Baadaye Lake Province liligawanywa na kuunda majimbo mawili la Lake Province (Sukuma Land) na Western Province). Utawala wa Mwingereza ulimalizika na Tanganyika kupata uhuru mwaka 1961.

Baada ya uhuru Mwanza iliendelea kuwa sehemu ya Jimbo la Lake Province chini ya mtawala wake kwanza wa jimbo (Provincial Commissioner) aliyeitwa Provincial Commissioner Bw. Walden, ambaye alikabidhi madaraka kwa Richard Wambura.

Mkoa wa Mwanza ulianzishwa rasmi mwaka 1963 ukiwa na wilaya nne za Ukerewe, Geita, Mwanza na Kwimba. Mwaka 1972 baada ya sera ya madaraka mikoani wilaya zaidi zilianzishwa kwa kuanza na Magu mwaka 1974. Wilaya ya Sengerema ilianzishwa mwaka 1975 ambapo awali ilikuwa ni tarafa mojawapo ya wilaya ya Geita.

Misungwi ilianzishwa mwaka 1995 ambapo awali ilikuwa ni eneo la tarafa za wilaya ya Kwimba, Ilemela na Nyamagana zilianzishwa mwaka 2002 ambazo zilikuwa zinaunda wilaya ya Mwanza. Mwaka 2010 mikoa mipya ya Geita na Simiyu ilitangazwa kuanzishwa. Wilaya mpya pia za Busega na Nyanghwale nazo zilitangazwa kuanzishwa 2010 na utekelezaji wake utaanza rasmi wakati wowote katika mwaka wa fedha 2011/12.

Mkoa wa Mwanza ni kati ya mikoa 30 ya Tanzania.Mipaka ya Mkoa, Mkoa wa Mwanza unapakana na Geita upande wa magharibi, Shinyanga na Simiyu upande wa kusini na Mara upande wa mashariki. Ziwa la Viktoria Nyanza liko kaskazini.

Idadi ya watu, kabla ya kumegwa na kuzaa mkoa mpya wa Geita, mkoa wa Mwanza ulikuwa na wakazi 2,942,148 (sensa ya mwaka 2002) katika wilaya 8 ukiwa na eneo la 19,592 km2. Wilaya ndizo Ukerewe,Magu, Sengerema,Geita,Misungwi,Kwimba,Nyamagana na Ilemela. Jiji la Mwanza ndani yake lina wilaya za Nyamagana na Ilemela.

Majimbo ya bunge
Wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2015 mkoa huu ulikuwa na majimbo ya uchaguzi yafuatayo:
Buchosa : mbunge ni Dk. Charles Tizeba (CCM)
Ilemela : mbunge ni Angelina Mabula (CCM)
Kwimba : mbunge ni Mansoor Hirani (CCM)
Magu : mbunge ni Kiswaga Boniventura (CCM)
Misungwi : mbunge ni Charles Kitwanga (CCM)
Nyamagana : mbunge ni Stanslaus Mabula (CCM)
Sengerema : mbunge ni William Ngeleja (CCM)
Sumve : mbunge ni Richard Mganga Ndassa (CCM)
Ukerewe : mbunge ni Joseph Mkundi (Chadema)

Makao makuu ya mkoa yapo Mwanza mjini.

Makabila ya Mkoa wa Mwanza
Makabila makubwa katika Mwanza ni Wasukuma kwa wilya za Sengerema, Magu, Kwimba, Misungwi na Ilemela ili hali Wilaya ya Nyamagana wanaishi makabila tofauti tofauti na wilya ya Ukerewe hupatikana Wakerewe na na Wakara.
To find out more Mr Bweichum HolySmile visit:
Bweichum HolySmile on Facebook
  / bweichumcome...​  

Follow us on Twitter
  / bweichumtz​  

More Mr.Bweichum
  / bweichumholys...​  
LIKE | COMMENT | SHARE | SUBSCRIBE.

Hello Dear viewers Welcome to our This is a funny videos channel and We are always trying to provide the best quality funny videos, funny fails, comedy videos. We have some funny type friends. They are make real fun with public site and take videos outside of there knowledge. please subscribe our channel and like our
 We make this video with some fail funny videos and mixed some comedy videos . This is holySMILE COMIC Funny . this video made without any scripting. but we all time make video with scripting.
 LIKE | COMMENT | SHARE | SUBSCRIBE.
a) Making of adeverts and advertising
b) Advertisement and Promotions
c) Organising events
#MrBalozi #Mwanza #Tanzania

Mwanza Tanzania (Rock City)

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

ЧП в семье Путина / Спецоперация в Санкт-Петербурге

ЧП в семье Путина / Спецоперация в Санкт-Петербурге

⚡️Удар России и Китая || НАТО заявляет о новой войне

⚡️Удар России и Китая || НАТО заявляет о новой войне

HUU NDIYO UZURI WA MKOA WA MWANZA

HUU NDIYO UZURI WA MKOA WA MWANZA

Непобедимая монгольская армия УНИЧТОЖЕНА за 1 день. Тайна Айн-Джалута.

Непобедимая монгольская армия УНИЧТОЖЕНА за 1 день. Тайна Айн-Джалута.

🔥ИЩЕНКО: ЕВРОПА УЖЕ ПРОИГРАЛА ВОЙНУ РОССИИ! ПРОСТО ИМ НЕ ХВАТАЕТ СМЕЛОСТИ ЭТО ПРИЗНАТЬ #ищенко

🔥ИЩЕНКО: ЕВРОПА УЖЕ ПРОИГРАЛА ВОЙНУ РОССИИ! ПРОСТО ИМ НЕ ХВАТАЕТ СМЕЛОСТИ ЭТО ПРИЗНАТЬ #ищенко

HOTUBA YA BWEICHUM JR USIKU WA WADAU SHUPAVU NA TUZO MKOA WA GEITA

HOTUBA YA BWEICHUM JR USIKU WA WADAU SHUPAVU NA TUZO MKOA WA GEITA

UJENZI WA DARAJA LA JPM KIGOGO BUSISI KUVUKA ZIWA VICTORIA MWANZA MAMBO YAMEIVA

UJENZI WA DARAJA LA JPM KIGOGO BUSISI KUVUKA ZIWA VICTORIA MWANZA MAMBO YAMEIVA

15 Удивительных Фактов об Якутск: Самый холодный город в мире: жизнь при −71°C.

15 Удивительных Фактов об Якутск: Самый холодный город в мире: жизнь при −71°C.

Мухаммед Али против Ивана Драго! Этот Бой не Забыть...

Мухаммед Али против Ивана Драго! Этот Бой не Забыть...

BMG TV: Sababu za Jiji la Mwanza kuvutia watu wengi

BMG TV: Sababu za Jiji la Mwanza kuvutia watu wengi

MFALME ZUMARIDI AKIFANYA UKOMBOZI WA KANISA LAKE

MFALME ZUMARIDI AKIFANYA UKOMBOZI WA KANISA LAKE

MAAJABU KWENYE JIJI LA MWANZA/ JIWE LINALOHAMA KWA KULIIMBIA /FAHAMU VIVUTIO VILIVYOKO MKOANI MWANZA

MAAJABU KWENYE JIJI LA MWANZA/ JIWE LINALOHAMA KWA KULIIMBIA /FAHAMU VIVUTIO VILIVYOKO MKOANI MWANZA

HISTORIA YA MKOA WA MWANZA

HISTORIA YA MKOA WA MWANZA

🔴 СРОЧНО Мирные переговоры: точка невозврата пройдена? #новости #одиндень

🔴 СРОЧНО Мирные переговоры: точка невозврата пройдена? #новости #одиндень

Почему Азовское море — самое опасное в мире

Почему Азовское море — самое опасное в мире

Kambi ya wachina ujenzi wa SGR MWANZA eneo la FELA

Kambi ya wachina ujenzi wa SGR MWANZA eneo la FELA

🔴#LIVE: WAKILI DKT. NSHALA ANAFUNGUKA MAPITO ALIYOPITIA,AGUSIA SAKATA LA LISSU....

🔴#LIVE: WAKILI DKT. NSHALA ANAFUNGUKA MAPITO ALIYOPITIA,AGUSIA SAKATA LA LISSU....

Historia ya kisiwa cha Ukerewe.

Historia ya kisiwa cha Ukerewe.

WAKAZI JIJI LA MWANZA WANYAKUA FURSA NYUMBA ILEMELA, MWANZA

WAKAZI JIJI LA MWANZA WANYAKUA FURSA NYUMBA ILEMELA, MWANZA

Три дня в Японии: какой итог?! | President

Три дня в Японии: какой итог?! | President

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]