WANANCHI MKOANI MBEYA WAKEMEA VIJANA WANAOFANYA MAANDAMANO .
Автор: Dizzoh tv
Загружено: 2025-11-08
Просмотров: 345
Wananchi mkoani mbeya wamewataka vijana mkaoni humo kutoendelea na mandamano ambayo yameenda kuwa Athiri kiuchumi wakazi wa mkoa huo huku wakiomba serikali kuendelea kutoa sheria kali kwa vijana watakaobainika kufanya vurugu nakusema wanataka kuendelea na Amani waliyo izoea .
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: