Maafisa wa DCI wawavamia wanahabari wa Citizen na TV47
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2024-12-05
Просмотров: 50255
Kizaazaa kilishuhudiwa baada ya maafisa wa DCI kuwavamia wanahabari wa runinga ya Citizen na TV 47 waliokuwa wakiangazia kuhojiwa kwa wandani wa Gachagua. Maafisa wa DCI waliwavamia wanahabari na kuwataka kufuta kwa lazima video walizokuwa wamerekodi wakati ambapo seneta wa Kiambu Karungo Thang’wa na aliyekuwa mbunge wa zamani wa Limuru Peter Mwathi walipokuwa wanasubiriwa kuwasili katika makao makuu ya dci Nairobi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: