MWANZO MWISHO: Ziara ya RAMSEY NOAH Kaburini kwa KANUMBA!
Автор: Global TV Online
Загружено: 2017-12-16
Просмотров: 112077
Subscribe / uwazi1
Msanii nguli wa filamu nchini Nigeria, Ramsey Noah, ametembelea kaburi la aliyekuwa gwiji wa filamu Bongo, Stevn Kanumba, ambaye amezikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Ramsey Noah ni moja kati ya wasanii wa filamu nchini Nigeria, ambaye alipata bahati ya kufanya kazi na marehemu Kanumba, ambapo walitengeneza filamu inayoitwa 'Devil Kingdom', ambayo ilifanya vizuri katika soko la filamu ndani na nje ya nje.
FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: