AMANI TANZANIA
Автор: ENEZA TV
Загружено: 2025-06-06
Просмотров: 177
Kulinda na kutunza Amani ya Taifa letu nzuri la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ni kila mmoja wetu. Viongozi wa Dini,Serikali,Siasa na kila raia wanawajibika kulinda na kutunza Tunu hii muhimu ya Amani na utulivu.
NB: 1.Tusione aibu kukemea na kukomesha vitendo vyote vya uvunjifu wa Amani.
2.Tuliombee Taifa letu kipekee katika kipindi hiki cha uchaguzi wa 2025.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: