💕 JENGA MAHUSIANO YENYE TIJA | Juni 10, 2023
Автор: LBS Foundation
Загружено: 2023-05-16
Просмотров: 79
🙋 Karibu kwenye darasa maalum la mahusiano kwa wachumba na wanandoa.
📍Katika darasa hili utajifunza;-
=Ndoa inayoongozwa na maono
=Sanaa ya mawasiliano
=Misingi ya kuwa mwenzi anayewajibika
=Mbinu za kutatua migogoro
✍️ Jisajili sasa ili kushiriki +255 763 497 784 au https://events.lbs.or.tz
Ada ni 150,000 tu kwa wawili (couple)
🕘 Ni Jumamosi ya tarehe 10 Juni 2023, Kuanzia saa 2:30 asubuhi mpaka saa 11:30 jioni
#lbs #lbsfoundation #mahusiano #ndoa #uchumba #mpenzi #maono #sanaa #mawasiliano #migogoro #deosukambi #kabenda
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: