Makamo wa Kwanza aungana na Rais Samia kupanda miti Donge
Автор: Zanzibar Kamili TV
Загружено: 2024-01-28
Просмотров: 5228
Makamu Mwenyekiti wa ACT - Wazalendo Zanzibar ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, leo Jumamosi Januari 27, 2024 amejumuika pamoja na Viongozi wengine Wakuu wa Chama hicho, katika Kikao cha Kamati Kuu huko Magomeni Mikumi, Jijini, Dar es salaam, kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Ndugu Juma Duni Haji.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: