PROF KABUDI ATAJA VIFUNGU VYA BIBLIA AKIAPISHWA IKULU DODOMA
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2020-11-16
Просмотров: 15519
Macho ya Watanzaia wengi siku ya leo yanaelekea jijini Dodoma kusikiliza kile kitakachojiri kwenye hafla ya uapisho wa Waziri Mkuu Mteule wa Tanzania Kassimu Majaliwa. Hafla hii iafanyika katika Ikulu ya Chamwino jijii Dodoma ambapo inatarajiwa kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: