Mambo manne ya Zitto Kabwe Bungeni May 17, 207
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2017-05-18
Просмотров: 28015
Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe alikuwa ni miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kuchangia Bajeti ya Wizara ya Viwanda, Bashara na Uwekezaji Bungeni Dodoma ambapo alikuwa na mambo mnne makuu aliyoishauri serikali kufanyia marekebisho haraka.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: